NSSF ILIVYOSHIRIKI KATIKA MAONESHO YA UTALII KARIBU KUSINI MKOANI IRINGA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 14, 2022

NSSF ILIVYOSHIRIKI KATIKA MAONESHO YA UTALII KARIBU KUSINI MKOANI IRINGA

 Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulishiriki katika Maonesho ya Utalii Karibu Kusini  yaliyofanyika katika viwanja vya Kihesa Kilolo mkoani Iringa, maonesho hayo yalifungwa  na Mgeni Rasmi, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud.

NSSF ilitumia  maonesho haya kwa ajili ya kutoa elimu ya hifadhi ya jamii kwa sekta binafsi na sekta isiyo rasmi,kuandikisha wanachama, kusikiliza na kutatua kero za wanachama.No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad