Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Generali Suleiman Mzee, akizungumza na Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bi. Dionisia Mjema, alipotembelea katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Rock City Mall jijini Mwanza.
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Generali Suleiman Mzee (kulia), akioneshwa na Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bi. Dionisia Mjema (wapili kulia), mabanda mbalimbali yaliyopo katika Mtaa wa Benki katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Rock City Mall, jijini Mwanza, wapili kulia ni Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Bw. Balandya Elikana na kushoto ni Mchumi Mwandamizi kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Ikunda Rumisha.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha na Mipango, Mwanza)
No comments:
Post a Comment