HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 25, 2022

Upasuaji wa kuzibua valvu za moyo kwa kutumia mtambo wa Cathlab wafanyika JKCI

 


Wataalam wa magonjwa ya moyo kwa watu wazima wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka Shirika la Madaktari Afrika la nchini Marekani wakifanya upasuaji wa bila kufungua kifua kwa kupasua sehemu ndogo kwenye kwa kutumia mtambo wa Cathlab kuzibua valvu ya moyo (Valve Intervention - Mitral Valve balloon Valvuloplasty Procedure) kwa mgonjwa ambaye valvu zake zimeziba na kushindwa kupitisha damu katika kambi maalum ya matibabu ya moyo ya siku nne inayoendelea katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.

Picha na Khamis Mussa

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad