RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUWA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 5, 2022

RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUWA

 


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) mara alipoingia katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Jijini Zanzibar leo katika hafla ya kuwaapisha Viongozi aliowateuwa hivi karibuni,ambapo Viongozi mbali mbali walihudhuria wakiwemo Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar.[Picha na Ikulu] 05/10/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Bw,Mgeni Jailani Jecha kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar,aliyemteuwa hivi karibuni hafla hiyo imefanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kabla alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mipango Uendeshaji na Rasilimali Watu katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar.[Picha na Ikulu] 05/10/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi hati ya kiapo Bw,Mgeni Jailani Jecha baada ya kumuapisha kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar, katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 05/10/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Nd,Valentina Andrew Katema kuwa Mrajis wa Mahakama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,kabla alikuwa Naibu Mrajis wa Mahakama Kuu ya Zanzibar. [Picha na Ikulu] 05/10/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi hati ya kiapo Nd,Valentina Andrew Katema baada ya kumuapisha kuwa Mrajis wa Mahakama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,kabla alikuwa Naibu Mrajis. [Picha na Ikulu] 05/10/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Nd,Shahim Fauzi Mohamed kuwa Naibu Mhasibu Mkuu wa Serikali katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 05/10/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi hati ya kiapo Nd,Shahim Fauzi Mohamed baada ya kumuapisha kuwa Naibu Mhasibu Mkuu wa Serikali katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 05/10/2022.
Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama ni miongoni mwa Wageni mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa leo Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi hivi karibuni katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 05-10-2022.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe,Zubeir Ali Maulid,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman,Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi pamoja na Viongozi mbali mbali waliohuria katika hafla ya kuapishwa leo Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi hivi karibuni katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 05-10-2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad