Rais Samia ahutubia Mkutano wa Ubunifu wa Afya Duniani (WISH), Doha nchini Qatar - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 4, 2022

Rais Samia ahutubia Mkutano wa Ubunifu wa Afya Duniani (WISH), Doha nchini Qatar

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Ubunifu wa Afya Duniani (World Innovation Summit for Health) unaofanyika Doha nchini Qatar tarehe 04 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine katika ufunguzi wa Mkutano wa Ubunifu wa Afya Duniani (World Innovation Summit for Health) unaofanyika Doha nchini Qatar tarehe 04 Oktoba, 2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad