HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, October 7, 2022

RAIS DKT. HUSSEIN MWINYI AFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE WA NGAZI YA JUU WIZARA YA MAMBO YA NJE YA INDIA

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akizungumza na Ujumbe wa ngazi ya juu kutoka Wizra ya Mambo ya Nje ya India,unaoongozwa na Katibu Mkuu wa Idara ya Ushirikiano Kati ya India na Bara la Afrika Mhe.Dammu Ravi(wa pili kulia) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo,(kushoto) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.[Picha na Ikulu] 07/10/2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimsikiliza Katibu Mkuu wa Idara ya Ushirikiano Kati ya India na Bara la Afrika Mhe.Dammu Ravi wakati wa mazungumzo na Ujumbe wa ngazi ya juu kutoka Wizra ya Mambo ya Nje ya India,walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 07/10/2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Katibu Mkuu wa Idara ya Ushirikiano Kati ya India na Bara la Afrika Mhe.Dammu Ravi,mara baada ya mazungumzo na Ujumbe wa ngazi ya juu kutoka Wizra ya Mambo ya Nje ya India,walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 07/10/2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad