Tukai amebainisha hilo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari -MAELEZO jijini Dodoma Oktoba 17, 2022, kuhusu utekelezaji wa majukumu ya bohari hiyo.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Gerson Msigwa akihitimisha mkutano huo kwa kutoa pongezi kwa Mkurugenzi Mkuu wa MSD,Tukai kwa kueleza na kufafanua vizuri majukumu ya bohari hiyo.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Tukai pamoja na mambo mengine akielezea kuhusu mpango huo wa Drone kupata kifafa....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
No comments:
Post a Comment