HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 15, 2022

MATUKIO; ZIARA YA WAZIRI MKUU KAGERA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Uongozi wa Kiwanda cha Kagera Sugar, wakati alipofanya ziara ya kukagua upanuzi wa mashamba ya miwa na mitambo na iliyoongezwa kwa ajili ya uzalishaji wa sukari katika kiwanda hicho, kilichopo Misenyi Mkoani Kagera. Oktoba 15, 2022

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia magunia ya Sukari ndani ya ghala, wakati alipofanya ziara ya kukagua upanuzi wa mashamba ya miwa na mitambo na iliyoongezwa kwa ajili ya uzalishaji wa sukari katika kiwanda hicho, kilichopo Misenyi Mkoani Kagera. Oktoba 15, 2022.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa daraja la Kitengule ambalo linaunganisha wilaya za Misenyi na Kagawe ambalo litarahisisha mawasiliano kwa Wilaya hizo pia litawawezesha kusafirisha malighafi za kiwanda cha Sukari cha Kagera kwa urahisi, Misenyi Mkoani Kagera. Oktoba 15, 2022.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia moja ya bidhaa ya Sukari, wakati alipofanya ziara ya kukagua upanuzi wa mashamba ya miwa na mitambo na iliyoongezwa kwa ajili ya uzalishaji wa sukari katika kiwanda hicho, kilichopo Misenyi Mkoani Kagera. Oktoba 15, 2022.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mhandisi wa Umeme Kiwanda cha Kagera Sugar (Electrical Engineer) Obeid Kiswaga, wakati alipofanya ziara ya kukagua upanuzi wa mashamba ya miwa na mitambo na iliyoongezwa kwa ajili ya uzalishaji wa sukari katika kiwanda hicho, kilichopo Misenyi Mkoani Kagera. Oktoba 15, 2022 Kushoto ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kagera Sugar Seif Ally Seif.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mhandisi wa Umeme Kiwanda cha Kagera Sugar (Electrical Engineer) Obeid Kiswaga, wakati alipofanya ziara ya kukagua upanuzi wa mashamba ya miwa na mitambo na iliyoongezwa kwa ajili ya uzalishaji wa sukari katika kiwanda hicho, kilichopo Misenyi Mkoani Kagera. Oktoba 15, 2022 Katikati ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kagera Sugar Seif Ally Seif.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mhandisi wa Kilimo Injinia Neema Senyaeli, wakati alipofanya ziara ya kukagua upanuzi wa mashamba ya miwa na mitambo na iliyoongezwa kwa ajili ya uzalishaji wa sukari katika kiwanda hicho, kilichopo Misenyi Mkoani Kagera. Oktoba 15, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad