
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kipinde cha Isaka – Mwanza cha Reli ya Kisasa (SGR) katika Steshini ya Fela mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya wananchi na viongozi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kipinde cha Isaka – Mwanza cha Reli ya Kisasa (SGR) katika Steshini ya Fela mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Muonekano wa eneo katika Stesheni ya Fela kwenye ujenzi unaoendelea wa kipande cha reli ya Kisasa ( SGR) cha Mwanza Isaka ambacho Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua Ujenzi wake, Oktoba 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment