HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 17, 2022

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA JPM MKOANI MWANZA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikagua ujenzi wa daraja la JPM,  Kigongo – Busisi mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022.  Kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey  Kasekenya na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikagua  maendeleo ya ujenzi wa daraja la JPM,  Kigongo – Busisi mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Muonekano wa  maendeleo ya ujenzi wa daraja la JPM, Kigongo -Busisi Mkoani Mwanza ambalo Waziri Mkui, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake, Oktoba 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikagua ujenzi wa daraja la JPM,  Kigongo – Busisi mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022.  Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Muonekano wa  maendeleo ya ujenzi wa daraja la JPM, Kigongo -Busisi Mkoani Mwanza ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake, Oktoba 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad