HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 2, 2022

NAIBU IGP BALOZI DKT ABDULAHMAN KANIKI ASISITIZA UADILIFU

 MOSHI, KILIMANJARO

ALIYEKUWA Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Balozi Dkt Abdulrahamani Kaniki amelitaka Jeshi la Polisi kuendelea kuwa waadilifu kwa kufanya kazi zake kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za nchi na kwa mujibu wa wakanuni mbalimbali zinazoliongoza Jeshi hilo.

Naibu IGP Kaniki amesema hayo wakati wa hafla maalum ya kumuaga kijeshi kwa gwaride baada ya kustaafu utumishi wake wa umma kwa mujibu wa sheria ambapo akizungumza na waandishi wa habari amewataka viongozi na watendaji wengine waliobaki kwenye utumishi wa Umma kuwa daraja kwa watendaji wengine waliochini yao ili kufikia malengo ya kimkakati.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad