HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 11, 2022

MAANDALIZI YA TPA KUPANDA MITI 2000 MIREMBE YAANZA+video

Katibu wa Taasisi ya Habari Development Bernard James akielezea kuanza kwa maandalizi ya upandaji miti 2000 eneo la Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe, Dodoma utakaofadhiliwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).
Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Kunze akibadilishana mawazo na Afisa wa Jeshi aliyekuwa anasimamia maandalizi ya usafishaji wa eneo hilo linalotarajiwa kupwandwa miti 2000.

Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wakichoma moto majani.
James akiwa na Afisa wa Jeshi aliyekuwa anasimamia usafishaji wa eneo hilo pamoja na vijana wa JKT.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, James akielezea kuhusu maandalizi hayo....IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
0754264203

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad