HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, August 7, 2022

Ziara ya Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Wilayani Rungwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa majengo mapya ya Chuo cha Ualimu Mpuguso Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wananchi wa Kasumulu baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Kituo cha pamoja cha Forodha Kasumulu Wilayani Kyela Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa kuashiria uzinduzi wa majengo mapya ya Chuo cha Ualimu Mpuguso Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Tukuyu Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad