RAIS WA ZAMBIA HAKAINDE HICHILEMA AENDELEA NA ZIARA YAKE HAPA NCHINI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 2, 2022

RAIS WA ZAMBIA HAKAINDE HICHILEMA AENDELEA NA ZIARA YAKE HAPA NCHINI

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa maelezo kuhusu picha mbalimbali kwa mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema katika ziara yake ya siku moja nchini kabla ya kuanza mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Agosti, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpatia maelezo kuhusu picha na vitabu vya Kiswahili mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema na baadae kukabidhi zawadi hizo katika ziara yake ya siku moja nchini kabla ya kuanza mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Agosti, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanahabari katika ziara ya Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Agosti, 2022.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad