Rais Samia akutana na kuzungumza na Wageni Mbalimbali Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 26, 2022

Rais Samia akutana na kuzungumza na Wageni Mbalimbali Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

 Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Masuala ya Wakimbizi (UNHCR) Filippo Grandi, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wakimbizi (UNHCR) Filippo Grandi mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2022.





Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Masuala ya Wakimbizi (UNHCR) Filippo Grandi, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wakimbizi (UNHCR) Filippo Grandi mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wakimbizi (UNHCR) Filippo Grandi mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad