Jongo wa Mtwara avuna milioni 10.9 m za bikospoti - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 25, 2022

Jongo wa Mtwara avuna milioni 10.9 m za bikospoti

 
Mwandishi Wetu, Mtwara

Mkazi wa mkoani Mtwara Mohamed Jongo, ameingia kwenye ulingo wa mamilionea wa mchezo wa kubashiri matokeo wa bikosports kwa kujishindia Sh Milioni 10.9 baaada ya mkeka wake wa mechi 14 kutiki.

Akizungumzia ushindi wake huo, Jongo anasema aliweka sh 1000 tu, ambao umemuwezesha kushinda kiasi hicho cha pesa atakachotumia kwa ajili ya maendeleo yake ikiwamo ujenzi wa nyumba yake kwa kutumia fursa ya bikosports inayochezwa kwa kupitia *149*89# ambapo namba ya Kampuni ni 101010 bila kusahau wanaocheza live kwa mtandao www.bikosports.co.tz.

"Niliweka sh 1000 tu ambapo Mungu amejalia kwa kupiga sh milioni 10.9 kutoka kwa kampuni ya Bikosports inayoendesh mchezo mzuri na ambao hauna mashaka katika ulipaji wake.

"Watanzania wote hususan wale wanaopenda kubeti nawaomba watumie kampuni ya Bikosports kwa sababu hawana longolongo katika uendeshaji wao na huwa na bonansi nzuri kuliko kampuni zote zinazojua mimi," Alisema Kingwande.

Bikosports ni mchezo unaochezwa na Watanzania wote hususan wale wenye ndoto za kukuza uchumi wao ambapo kwa kupitia simu ya mkononi *149*89# au www.bikosports.co.tz wanaweza kucheza na kushinda fedha nyingi kama ilivyokuwa kwa Kingwande.Mkazi wa Mtwara Mohamed Hassan Jongo akiwa ni mwenye furaha tele baada ya kupokea fedha zake Sh Milioni 10.9 alizoshinda kutoka kwenye mchezo wa kubashiri matokeo ya michezo mbalimbali duniani ya Bikosports unaoongoza kutoa washindi wengi. Na mpigapicha wetu.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad