ZIARA YA RAIS DK.MWINYI WILAYA NDOGO TUMBATU - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 20, 2022

ZIARA YA RAIS DK.MWINYI WILAYA NDOGO TUMBATU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika Boti maalum katika bandari ya Mkokotoni kuelekea Wilaya Ndogo Tumbatu leo,pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayou Mohamed Mahmoud,akiendelea na ziara yake ya Mkoa wa Kaskazini Unguja kutemelea na kuweka mawe ya msingi miradi mbali mbali ya maendeleo.
[Picha na Ikulu] 20/07/2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad