SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI POLEPOLE NCHINI MALAWI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 10, 2022

SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI POLEPOLE NCHINI MALAWI

 

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Malawi, Mhe. Humphrey Polepole baada ya kuwasili leo Julai 10, 2022 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu uliopo Lilongwe nchini humo.

Mhe. Spika atashiriki Mkutano wa 51 wa Jukwaa la Mabunge ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC – PF) utakaoanza tarehe 11 hadi 16 Julai, 2022 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Bingu (BICC) Jijini Lilongwe.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad