HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 12, 2022

RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Kusini mwa Afrika,Bi.Victoria Kwakwa (kushoto) wakati wa mazungumzo akiwa na ujumbe aliofuatana nao leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Dkt.Saada Mkuya Salum.[Picha na Ikulu]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia kanda ya Kusini mwa Afrika,Bi.Victoria Kwakwa (wa pili kulia) katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Dkt.Saada Mkuya Salum.[Picha na Ikulu]
Waziri wa Uchumi wa Buluu Suleiman Masoud Makame (kushoto) pamoja na watendaji wengine wakiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Kusini mwa Afrika, wakati Ujumbe huo Ulipokutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Kusini mwa Afrika,Bi.Victoria Kwakwa baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu]

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad