KILELE CHA KUMBIKIZI YA HAYATI BENJAMIN MKAPA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 14, 2022

KILELE CHA KUMBIKIZI YA HAYATI BENJAMIN MKAPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania mama Samia Suluhu Hassan akiangalia baadhi ya mabanda ya Taasisi mbalimbali zinazounga mkono sekta ya Afya wakati wa kilele cha maadhishi ya kumbukizi ya pili ya maisha ya mwasisi na msarifu wa Taasisi ya Benjamin Mkapa foundation BMF ambae pia ni Rais mstaafu awamu ya tatu SMT Hayati Benjamin William Mkapa,hafla iliyofanyika hoteli ya Golden tulip Uwanja wa ndege Zanzibar.

Afisa Mtendaji Mkuu,Taasisi ya Mkapa (BMF) dkt. Ellen Mkondya-Senkoro akizungumza wakati wa kilele cha kumbukizi ya pili ya maisha ya Rais wa Awamu ya tatu ambae pia ni muasisi na msarifu wa Tassisi ya Benjamin Mkapa Foundation (BMF) Hayati Benjamin William Mkapa ililofanyika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania mama Samia Suluhu Hassan akimkabidhi tunzo ya utendaji Bora mhudumu wa Afya ngazi ya Jamii (CHW) kijiji cha Mpendo - Chemba -Dodoma Mathias Donald Mazunguni wakati wa kilele cha kumbukizi ya pili ya maisha ya Rais mstaafu wa awamu ya tatu SMT Hayati Benjamin William Mkapa iliyofanyika hoteli ya Golden tulip Uwanja wa ndege Zanzibar.

Mjane wa aliekua Rais wa awamu ya tatu SMT mama Anna Mkapa akiwasili katika hoteli ya Golden tulip kushiriki kilele cha kumbukizi ya pili ya maisha ya mwasisi wa Taasisi ya Benjamin Mkapa foundation BMF Hayati Benjamin William Mkapa.
Waziri ya Afya Tanzania Mhe.Ummy Mwalimu akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu,Taasisi ya Mkapa (BMF) dkt. Ellen Mkondya-Senkoro alipofika hoteli ya Golden tulip Uwanja wa ndege Zanzibar kushiriki kilele cha kumbukizi ya pili ya maisha ya aliekuwa raisi wa tatu wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania na mwasisi WA Taasisi ya Mkapa foundation BMF.
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Dkt .Donald Wright akitoa salamu za Serikali ya Marekani Kwa Tanzania wakati wa hafla ya kilele cha kumbukizi ya pili maisha ya mwasisi wa Taasisi ya Benjamin Mkapa foundation ambae pia ni Rais wa awamu ya tatu katika Serikali ya Muungano ya Tanzania huko Hotel ya Golden tulip Uwanja wa ndege Zanzibar.
Waziri wa Afya Zanzibar mhe Nassor Ahmed Mazrui akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ili nae amkarinishe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan kuhutubia katika kilele cha kumbukizi ya pili ya maisha ya mwasisi na msarifu wa Taasisi ya Benjamin Mkapa foundation BMF ambae pia ni Rais mstaafu awamu ya tatu SMT Hayati Benjamin William Mkapa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi akizungumza machache nakumkaribisha mgeni rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania mama Samia Suluhu Hassan kuhutubia katika kilele cha kumbukizi ya pili ya maisha ya mwasisi na msarifu wa Taasisi ya Benjamin Mkapa foundation BMF ambae pia ni Rais mstaafu awamu ya tatu SMT Hayati Benjamin William Mkapa,hafla iliyofanyika hoteli ya Golden tulip Uwanja wa ndege Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania mama Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa kilele cha kumbukizi ya pili ya maisha ya Rais wa awamu ya tatu SMT Hayati Benjamin William Mkapa ,huko hoteli ya Golden tulip Uwanja wa ndege Zanzibar.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania mama Samia Suluh Hassan akiwasili katika hoteli ya Golden tulip Uwanja wa ndege Zanzibar kushiriki kilele cha kumbukizi ya pili maisha ya Rais wa Awamu ya tatu ambae pia ni msarifu na mwasisi wa Taasisi ya Benjamin Mkapa foundation BMF Hayati Benjamin William Mkapa.
PICHA NA FAUZIA MUSSA-MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad