Benki ya DCB yazindua kampeni kusherehekea miaka 20 ya mafanikio jijini Dar es Salaam - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 8, 2022

Benki ya DCB yazindua kampeni kusherehekea miaka 20 ya mafanikio jijini Dar es Salaam

 

.Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa ( katikati) akizingumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kusheherekea miaka 20 ya mafanikio ya benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Uendeshaji, Nelson Swai, Mkurugenzi wa Mikopo, Isidori Msaki, Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano, Rahma Ngassa na Mkurugenzi wa Wateja Binafsi, Ester Bgoya.

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Biashara ya DCB, Rahma Ngassa (wa pili kulia) akizungumza katika mkutano ambao Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Godfrey Ndalahwa (wa tatu kushoto) alipokutana na waandishi wa habari kuzungumzia uzinduzi wa kampeni ya kusheherekea miaka 20 ya mafanikio ya benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni; Mkurugenzi wa Uendeshaji, Nelson Swai, Mkurugenzi wa Mikopo, Isidori Msaki na Mkurugenzi wa Wateja Binafsi, Ester Bgoya.

 Baadhi ya waandishi wa habari wakihudhuria hafla ya  uzinduzi wa kampeni ya kusheherekea miaka 20 ya mafanikio  ya Benki ya DCB  jijini Dar es Salaam leo

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad