HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 30, 2022

USIKU WA UTAMADUNI WANOGESHA KONGAMANO LA SHINA INC, WASHIRIKI WAPONGEZWA KWA KUPEWA VYETI

  

Rais wa Shirika la SHINA INC, Jessica Mushala akizungumza   na washiriki wa Kongamano lililoandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la SHINA INC  wakati wa Usiku wa Utamaduni pamoja na kugawa vyeti wa kwa washiriki wa Kongamano hilo lililofanyika Makunduchi, Zanzibar likiwa na kauli mbiu ya Uongozi na Utawala , Wajibu wa Vijana katika kujenga Maendeleo endelevu.
Mkurugenzi wa Shirika la SHINA Tanzania, Joanes Chamushara akitoa salamu kwa niaba ya SHINA Tanzania kuhusu namna walivyojipanga kuendelea kutoa mafunzo kwa washiriki na kwa jamii kiujumla  wakati wa Usiku wa Utamaduni pamoja na kugawa vyeti wa kwa washiriki wa Kongamano hilo lililofanyika Makunduchi, Zanzibar likiwa na kauli mbiu ya Uongozi na Utawala , Wajibu wa Vijana katika kujenga Maendeleo endelevu.
Baadhi ya ngoma za kitamaduni za Tanzania bara pamoja na Zanziba zikiendelea kutoa burudani kwenye usiku wa Utamaduni ulioandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la SHINA INC  wakati wa Kongamano la siku Tatu lililofanyika Makunduchi, Zanzibar likiwa na kauli mbiu ya Uongozi na Utawala , Wajibu wa Vijana katika kujenga Maendeleo endelevu. Kati ya ngoma zilizoshiriki kwenye usiku wa Utamaduni ni Ngoma ya Duma ya Zanzibar, Shule ya Sekondari Makunduchi, Ngoma ya Kyaso kutoka Pemba, Wasukuma, Msewe kutoka Zanzibar, Wahaya pamoja na Wanyakyusa.
Rais wa Shirika la SHINA INC, Jessica Mushala pamoja na wengeni waalikwa wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanakikundi wa Ngoma ya Msewe kutoka Zanzibar wakati wa tamasha la usiku wa Utamaduni lililofanyika kwenye kongamano lililoandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la SHINA INC   na kufanyika Makunduchi, Zanzibar
Rais wa Shirika la SHINA INC, Jessica Mushala akipokea zawadi ya ngoma kutoka kwa mmoja wa washiriki wakati wa akati wa Usiku wa Utamaduni pamoja na kugawa vyeti wa kwa washiriki wa Kongamano hilo lililofanyika Makunduchi, Zanzibar likiwa na kauli mbiu ya Uongozi na Utawala , Wajibu wa Vijana katika kujenga Maendeleo endelevu.
Rais wa Shirika la SHINA INC, Jessica Mushala akiwakabidhi baadhi ya Washiriki wa Kongamano lililoandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la SHINA INC ili kutambua umuhimu wa Konamano hilo lililofanyika Makunduchi, Zanzibar  

3 comments:

  1. The conference was really nice, everything was ok. God bless the president.

    ReplyDelete
  2. Nampongeza Rais wa Shina na watendaji wake kwa ujumla washiriki wote wakitoka na kitu Cha kujufunza zaidi. Maandalizi na taratibu zote zilikuwa Safi. Utalii wa ndani ya Zanzibar kwa ujumla Mambo yalikuwa motooo. Hongereni sana.

    ReplyDelete
  3. Hongera sana Shina inc pamoja na uongozi wote na washiriki, kipekee pongezi nyingi ziende kwa Rais wa Shina Jessica Mushala pamoja na mmewe

    ReplyDelete

Post Bottom Ad