HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 10, 2022

Rais Samia Suluhu Hassan, afungua Msikiti wa Jami`ul Istiqama Bukoba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati), akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Msikiti wa JAMI`UL  ISTIQAAMA, uliojengwa na Jumuiya ya Istiqaama kwa kushirikiana na Serikali ya Oman, uliopo Bukoba mjini, mkoani  Kagera leo Juni 10, 2022. Wengine pichani ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislam ya  Isitqaama, Sheikh Seif Ally Seif (wa tatu kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Jumuiya hiyo, Sheikh Badar bin Sood (watatu kushoto), Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakar Zubeir bin Ally (wa pili kushoto), Naibu Balozi wa Oman nchini, Dkt. Salim Al Harbin (kushoto), Mwakilishi wa Mufti wa Oman, Sheikh Dr Wail Al Harasi, pamoja na Mjumbe wa Jumuiya ya Kiislam ya  Isitqaama, Sheikh Nassor Seif. Picha na Othman Michuzi, Kagera.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati), akifungua kitambaa kwenye jiwe la msingi wakati wa ufunguzi rasmi wa Msikiti wa JAMI`UL  ISTIQAAMA, uliojengwa na Jumuiya ya Istiqaama kwa kushirikiana na Serikali ya Oman, uliopo Bukoba mjini, mkoani  Kagera leo Juni 10, 2022. 

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo ya Msikiti huo kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislam ya  Isitqaama, Sheikh Seif Ally Seif. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabua Msikiti huo, uliojengwa na Jumuiya ya Istiqaama kwa kushirikiana na Serikali ya Oman, uliopo Bukoba mjini, mkoani  Kagera leo Juni 10, 2022. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia baada ya ufunguzi rasmi wa Msikiti wa JAMI`UL  ISTIQAAMA, uliojengwa na Jumuiya ya Istiqaama kwa kushirikiana na Serikali ya Oman, uliopo Bukoba mjini, mkoani  Kagera leo Juni 10, 2022. 
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakar Zubeir bin Ally, akizungumza katika ufunguzi rasmi wa Msikiti wa JAMI`UL  ISTIQAAMA, uliojengwa na Jumuiya ya Istiqaama kwa kushirikiana na Serikali ya Oman, uliopo Bukoba mjini, mkoani  Kagera leo Juni 10, 2022. 
Naibu Balozi wa Oman nchini, Dkt. Salim Al Harbin, akizungumza katika ufunguzi rasmi wa Msikiti wa JAMI`UL  ISTIQAAMA, uliojengwa na Jumuiya ya Istiqaama kwa kushirikiana na Serikali ya Oman, uliopo Bukoba mjini, mkoani  Kagera leo Juni 10, 2022. 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislam ya  Isitqaama, Sheikh Seif Ally Seif, akizungumza katika ufunguzi rasmi wa Msikiti wa JAMI`UL  ISTIQAAMA, uliojengwa na Jumuiya ya Istiqaama kwa kushirikiana na Serikali ya Oman, uliopo Bukoba mjini, mkoani  Kagera leo Juni 10, 2022. 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad