RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA KITAALUMA WA MAKATIBU MAHSUSI TANZANIA, JIJINI DODOMA LEO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 2, 2022

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA KITAALUMA WA MAKATIBU MAHSUSI TANZANIA, JIJINI DODOMA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa akifungua Mkutano Mkuu wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania, uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodomma leo. Picha zote na Othman Michuzi.
Waziei wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Innocent Bashungwa akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania, uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodomma leo. 
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Christina Mndeme akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania, uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodomma leo. 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania, uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodomma leo. 

Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania, Zuhura Maganga akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania, uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodomma leo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania, Zuhura Maganga wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania, uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodomma leo. 
Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania, Zuhura Maganga akionyesha kwa wanachama wa Chama hicho tuzo aliyopewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania, uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodomma leo. 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad