HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 13, 2022

Rais Samia azungumza katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Oman, ashuhudia uwekaji Saini Mikataba ya makubaliano ya Ushirikiano

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Oman lililofanyika katika eneo la Kasri ya Al Bustan Muscat nchini humo tarehe 13 Juni, 2022.Wafanyabiashara kutoka Tanzania na Oman pamoja na Wakuu wa Taasisi mbalimbali wakiwa katika Kongamano la Biashara lililofanyika katika eneo la Kasri ya Al Bustan Muscat nchini humo tarehe 13 Juni, 2022.
 PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad