HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, June 5, 2022

Namna ya Kucheza na Kushinda Keno Meridianbet!

 

KASINO ya mtandaoni ya Meridianbet inakusogezea bahati nasibu kupitia mchezo wa Keno. Huu ni mchezo wa namba ambao mchezaji anachagua namba 10 kutoka kwenye orodha ya namba 1 mpaka 80.

Huu ni mchezo wa bahati nasibu, ukiwa na bahati sana utashinda pesa nyingi zaidi. Mchezo huu ni moja ya michezo inayopendwa na wachezaji wengi wa Meridianbet.

Namna ya Kucheza Mchezo wa Keno

Ukiingia kwenye upande wa bahati nasibu ya Meridianbet, utaona ubao unaoonesha namba 1 mpaka 

80. Mteja ataamua anataka kuweka dau la kiasi gani? Kumbuka, kila dau utakaloliweka, linaweza kukupatia faida stahiki kulingana na dau hilo.

Baada ya mteja kuweka dau, atachagua namba zake 10 za bahati anazoamini zitatolewa kwenye droo ya mzunguko unaofuata, baada ya kukamilisha hatua hizi, mteja atasubiri matokeo ya droo husika kutokea.

Namna ya Kupata Ushindi Kwenye Mchezo wa Keno

Ushindi wa Keno ya Meridiabet unategemea idadi ya namba ulizochagua na zile zilizotokea kwenye droo husika! Kama ukipatia namba mbili basi ushindi wako utakuwa ni mara 2 ya dau lako!


Kama ukichagua namba na zikatokea katika ile droo kabambe ya “Zote zitokee” basi utakuwa miongoni mwa mamilionea! Jiunge sasa na Meridianbet na ufaidi odds, bonasi na promosheni kabambe! 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad