HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 22, 2022

MWENYEKITI WA CCM RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo Juni 22, 2022 katika Ukumbi wa (White House) Makao Mkuu ya CCM Jijini Dodoma.
No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad