Mkuu
 wa Mkoa wa Kusini Rashidi Makame Shamsi akizungumza na wageni waalikwa 
pamoja na wanakongamano alipofika kukagua, kusalimia na kutoa salamu za 
Serikali ya Zanzibar wakati wa kongamano la Vijana lililoandaliwa na 
Shirika lisilo la Kiserikali la SHINA INC na linalofanyika kwa katika 
eneo la Makunduchi, Zanzibar.
Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Makunduchi A/INS Mtumwa Mussa akizungumza na washiriki wa kongamano la Vijana lililoandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la SHINA INC na linalofanyika kwa siku tatu katika eneo la Makunduchi, Zanzibar
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Rashidi Makame Shamsi akiwa kwenye picha ya pamoja na uongozi wa Shirika la Shina INC wakiongozwa na Rais wa Shirika la SHINA INC, Jessica Mushala mara baada ya kuwasili kwenye kongamano la Vijana lililoandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la SHINA INC na linalofanyika kwa siku tatu katika eneo la Makunduchi, Zanzibar

No comments:
Post a Comment