HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 1, 2022

MAKAMU WA RAIS AZURU KABURI LA WAZIRI MKUU OLOF PALME

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango pamoja na mkewe mama Mbonimpaye Mpango wakiweka Shada la Maua katika kaburi la aliyekuwa Waziri Mkuu wa Sweden Hayati Olof Palme wakati walipozuru katika eneo la kaburi hilo Stockholm nchini Sweden leo tarehe 1 Juni 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akipokea kitabu maalum kinachoelezea Maisha ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Sweden Hayati Olof Palme kutoka kwa Joakim Jonhsson mhazini wa Chama cha Social Democratic cha Sweden  mara baada ya kuweka Shada la Maua katika Kaburi la Hayati Waziri Mkuu Olof Palme Stockholm nchini Sweden leo tarehe 1 Juni 2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad