Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kamishina Jeneralli wa Jeshi la Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala (kushoto) wakati alipokagua kazi ya uwekaji alama za kubainisha la hifadhi penye ukubwa wa kilomita za mraba 1500 katika eneo la Loliondo wilayani Ngorongoro, Mkoa wa Arusha Juni 23, 2022. (Picha na Ofisi ya Wazifri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kazi ya uwekaji alama za kubainisha eneo la hifadhi lenye ukubwa wa kilomita za mraba 1500 katika eneo la Loliondo wilayani Ngorongoro, Mkoa wa Arusha Juni 23, 2022. (Picha na Ofisi ya Wazifri Mkuu)
No comments:
Post a Comment