HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 6, 2022

IIA kuandaa mkutano wa Shirikisho la Wakaguzi Afrika

Rais na Mwenyekiti wa taasisi ya Ukaguzi wa ndani nchini (IIA), Zelia Njeza akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa kutaja mafanikio waliyoyapata ikiwa ni pamoja na kuandaa Mkutano wa dunia wa wakaguzi wa ndani.
Mjumbe wa Bodi ya Taasisi ya wakaguzi wa ndani Tanzania (IIA), George Binde akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. 

Picha ya pamoja ya baadhi ya wadau  wa Ukaguzi wa ndani nchini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad