HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 12, 2022

UTT AMIS yadhamini Kikao cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini

Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wakiwa katika mkutano. 

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akizungumza wakati akifungua kikao cha 17 cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Serikalini kinachoendelea jijini Tanga.
Washiriki wa Mkutano wa Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikali wakipata maelezo kutoka kwa Afisa Masoko wa UTT AMIS, Oliva Minja walipotembelea dawati la UTT nje ya ukumbi wa mkutano.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad