Rais Samia ahutubia katika Maadhimisho ya miaka 10 ya Mtandao wa Watetezi wa THRDC Jijini Dar es Salaam - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 13, 2022

Rais Samia ahutubia katika Maadhimisho ya miaka 10 ya Mtandao wa Watetezi wa THRDC Jijini Dar es Salaam

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akinyanyua Tuzo aliyopewa na Kituo cha THRDC kutokana na mchango wake wa kutetea Haki za Binadamu na utawala wa Sheria katika Maadhimisho hayo ya miaka 10 ya Kituo Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Mei 2022.

RAIS Mhe. Samia Suluhu Hassan ahutubia katika Maadhimisho ya miaka 10 ya Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania THRDC Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro, Mwenyekiti wa THRDC Jaji Mstaafu Joaquine De Mello pamoja na viongozi wengine katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya THRDC mara baada ya hotuba yake tarehe 13 Mei, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua Ripoti ya miaka 10 ya Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania THRDC mara baada ya hotuba yake tarehe 13 Mei, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia kazi mbalimbali zinazofanywa na THRDC pamoja na Asasi nyingine katika mabanda ya Maonesho wakati akiwasili kwa ajili ya Maadhimisho ya miaka 10 ya Mtandao huo wa Haki za Binadamu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Mei 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wadau mbalimbali kwenye Maadhimisho ya miaka 10 ya Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania THRDC katika hafla iliyofanyika ukumbi wa PSSSF Jijini Dar Es Salaam tarehe 13 Mei 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka kwa Mwenyekiti wa THRDC Jaji Mstaafu Joaquine De Mello kutokana na mchango wake wa kulinda na kusimamia haki za binadamu na utawala wa Sheria katika kipindi cha mwaka mmoja tangu aingie madarakani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad