HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 29, 2022

KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKAGUA MFUMO WA MAJITAKA DODOMA

 

KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mary Maganga (wan ne kushoto) akisikiliza maelezo ya kuhusu mfumo wa majitaka unavyofanya kazi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph (kushoto) ambao unachakata Majitaka kutoka hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma leo 29.05.2022 ikiwani Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Duniani.
KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mary Maganga (katika) akikagua mifumo ya kuchakata majitaka kutoka hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma leo 29.05.2022 ikiwani Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Duniani. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph  na Mkuu wa Kitengo cha Majitaka na Mazingira DUWASA, Daniel Mgunda.
KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mary Maganga (katikati) akisikiliza maelezo kuhusu mfumo wa majitaka unavyofanya kazi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph (kushoto) ambao unachakata Majitaka kutoka hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma leo 29.05.2022 ikiwani Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Duniani.

KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mary Maganga akipanda mti wa mparachichi katika eneo la mifumo ya kuchakata majitaka inayoendeshwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) baada ya kuikagua jijini Dodoma leo 29.05.2022 ikiwani Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Duniani. Watatu kulia ni Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph.(Picha na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad