RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara
(CBE) Prof.Wineaster Saria Anderson alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa
mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 6-4-2022.
/RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)
ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo hicho Prof.Wineaster Saria
Anderson (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa
mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 6-4-2022.(Picha na
Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Ujumbe wa Bodi ya Chuo cha Elimu
ya Biashara (CBE) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hicho
Prof.Wineaster Saria Anderson, baada ya kumaliza mazungumzo yao
yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-4-2022.(Picha
na Ikulu)
Wednesday, April 6, 2022

RAIS MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UONGOZI WA BODI YA CBE IKULU ZANZIBAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment