HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 20, 2022

RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEGAWA SADAKA YA FUTARI KWA WANANCHI WENYE MAHITAJI MAALUM


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi sadaka ya futari mmoja ya Wananchi wenye mahitaji maalum Bw.Salmin Amour, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi sadaka ya futari kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi, iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Unguja Jijini Zanzibar. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi sadaka ya futari mmoja ya Wananchi wenye mahitaji maalum Bi.Maliha Mahmoud, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi sadaka ya futari kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi, iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Unguja Jijini Zanzibar.
Wananchi wenye mahitaji maalum wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kutowa nasaha zake wakati wa hafla ya kugawa sadaka ya futari kwa Wananchi hao iliofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square michezani Unguja.
(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad