
Diwani wa Kata ya Azimio, Amina Lalani (wa tatu kulia) pamoja na Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Mashaki, Badru Idd (wa tatu kushoto) wakivuta kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa madarasa matatu yaliyojengwa kwa Ufadhili wa Benki ya CRDB, katika Shule ya Msingi Twiga, wilayani Temeke katika hafla ya kukabidhi madarasa hayo iliyofanyika Aprili 12, 2022. Wengine pichani ni Afisa Elimu Taaluma Manispaa ya Temeke, Sarah Lisasi (wa pili kulia), Mkuu wa Shule ya Msingi Twiga, Jacquiline Amlungi (kulia), Meneja Mwandamizi wa Uwekezaji kwa Jamii wa Benki ya CRDB, Joyceline Makule (wa pili kushoto) pamoja na Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Temeke, Wema Songoro.
Diwani wa Kata ya Azimio, Amina Lalani akizungumza katika hafla ya kukabidhi madarasa matatu yaliyojengwa kwa Ufadhili wa Benki ya CRDB, katika Shule ya Msingi Twiga, wilayani Temeke iliyofanyika Aprili 12, 2022.
Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Mashaki, Badru Idd akimuonyesha kitu Diwani wa Kata ya Azimio, Amina Lalani (aliyemuwakilisha Mkuu wa Wilaya
ya Temeke, Jokate Mwegeno) mara baada ya kukabidhi
madarasa matatu yaliyojengwa kwa Ufadhili wa Benki ya CRDB, katika Shule
ya Msingi Twiga, wilayani Temeke iliyofanyika Aprili 12, 2022.
Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Mashaki, Badru Idd akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa Mkuu wa Shule ya Msingi Twiga, Jacquiline Amlungi katika hafla ya kukabidhi madarasa matatu yaliyojengwa kwa Ufadhili wa
Benki ya CRDB, katika Shule ya Msingi Twiga, wilayani Temeke
iliyofanyika Aprili 12, 2022. Wengine pichani kutoka kulia ni Afisa Elimu Taaluma Manispaa ya Temeke, Sarah Lisasi, Diwani wa Kata ya Azimio, Amina Lalani pamoja na Meneja Mwandamizi wa Uwekezaji kwa Jamii wa Benki ya CRDB, Joyceline Makule
No comments:
Post a Comment