
Mufti wa
Tanzania Dk. Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ali (kushoto), akizungumza
katika hafla fupi ya kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhan pamoja na
pongezi kwa kutunukiwa Shahada ya udaktari wa heshima (PHD) kutoka Chuo
Kikuu cha nchini Gambia. 


Mkuu wa Kitengo cha CRDB Al-Barakah Banking, Rashid Rashid, akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake BAKWATA, Shamim Khan.
Mkuu wa Kitengo cha CRDB Al-Barakah Banking, Rashid Rashid (wa pili kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk. Alhad Mussa Salum (kushoto kwake) wakati wa
hafla ya kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhan pamoja na
kumpongeza Mufti wa
Tanzania Dk. Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ali kwa kutunukiwa Shahada ya udaktari wa heshima (PHD) na Chuo
Kikuu cha nchini Gambia.
No comments:
Post a Comment