HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 25, 2022

UZINDUZI WA KAMPENI YA SOMA NA MTI TEMEKE


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza wakati wa kuzindua Kampeni ya Soma na Mti kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo lililofanyika leo Machi 25, 2022 katika shule ya Sekondari Karibuni wilayani Temeke Mkoa wa Dar es Salaam. 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akipokea zawadi ya picha ya kuchora yenye taswira yake wakati wa zoezi la uzinduzi wa Kampeni ya Soma na Mti kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo lililofanyika jana katika shule ys Sekondari Karibuni wilayani Temeke Mkoa wa Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akipanda mti kuashiria uzinduzi wa Kampeni ya Soma na Mti kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo lililofanyika jana katika shule ys Sekondari Karibuni wilayani Temeke Mkoa wa Dar es Salaam.
(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad