Mkuu wa Kitengo cha Wateja, Biashara na Taasisi ya Afrika Mashariki wa Benki ya Standard Chartered, Bw. Birju Sanghrajka atembelea Tanzania - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 9, 2022

Mkuu wa Kitengo cha Wateja, Biashara na Taasisi ya Afrika Mashariki wa Benki ya Standard Chartered, Bw. Birju Sanghrajka atembelea Tanzania

Mkuu wa Kitengo cha Wateja, Biashara na taasisi ya Afrika Mashariki wa Benki ya Standard Chartered, Bw. Birju Sanghrajka alitembelea Tanzania wiki iliyopita. Katika ziara yake hiyo, alikuwa na mazungumzo na wadau mbalimbali. Mojawapo ya mazungumzo hayo ni pamoja na tukio la mteja ambalo lilifanyika wiki iliyopita na baadhi ya Wateja wetu wa Biashara.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad