HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 4, 2022

Mbowe aachiwa huru

MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Rushwa na Ujumumu Uchumi, Dar es Salaam imemuachia huru Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu baada ya Mkurugenzi  wa Mashtaka nchini (DPP) kwa kuwasilisha hati ya kutakuwa na nia ya kuendelea na mashtaka dhidi yao.

Mbowe na wenzake, Adam Kasekwa, Halfani Bwire na Mohamed Ling’wenywa waliokuwa makomandoo wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wameachiwa guru leo Machi 4, 2022 na Jaji Joachim Tiganga.

Mapema kesi hiyo iliitwa mahakamani hapo kwa ajili ya washtakiwa kuanza kujitetea lakini Wakili wa Serikali Mwandamizi, Robert Kidando alieeleza mahakama kuwa  DPP amewasilisha hati (Nolle) kuwa hana nia ya kuendelea na mashtaka dhidi ya washtakiwa.


 

1 comment:

  1. JTG Casino (Las Vegas, NV) - JT Hub
    JTG is a Las 밀양 출장마사지 Vegas-based casino hotel and destination located 파주 출장안마 in Downtown Las 포항 출장안마 Vegas. 김제 출장안마 Las Vegas, NV, 전주 출장안마 USA.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad