HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 16, 2022

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA DARAJA LA MAGARA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akifungua Rasmi Daraja la Magara na Barabara Unganishi ya kilometa 5.2 iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara leo tarehe 16 Machi 2022.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na viongozi, pamoja na wananchi mbalimbali wa Magara iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara mara baada ya kufungua Daraja la Magara na Barabara Unganishi ya kilometa 5.2 iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara leo tarehe 16 Machi 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akitembea katika  Daraja la Magara mara baada ya kulizindua pamoja na  Barabara Unganishi ya kilometa 5.2 iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara leo tarehe 16 Machi 2022

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad