HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 17, 2022

RC IRINGA AZINDUA KONGAMANO LA KWANZA LA ELIMU LILILOANDALIWA MUCE

 

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Queen Sendiga akifungua Kongamano la siku mbili la Elimu Kitaifa lililoandaliwa na Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa Iringa (MUCE-UDSM) kwa kushirikiana na taasisi wadau wa elimu nchini. Miongoni mwa wadau wa elimu waliofanikisha Kongamano hilo ni pamoja na Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMET), Sweden Sverige na IRUWASA. Kongamano hilo lilifanyika Chuo Kikuu Kishiliki Cha Mkwawa Iringa.
Meneja Programu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMET), Bw. Nicodemus Shauri Eatlawe akizungumza kwa niaba ya Mratibu wa Taifa wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMET), Bw. Ochola Wayoga kwenye hafla ya uzinduzi wa Kongamano la Elimu Kitaifa lililoandaliwa na MUCE-UDSM.


Mkuu wa Kitivo cha Elimu MUCE-UDSM, Dk. Orestes Kapinga akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa Kongamano la Elimu Kitaifa lililoandaliwa na Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa Iringa (MUCE-UDSM) kwa kushirikiana na taasisi wadau wa elimu nchini.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Queen Sendiga (kulia) akizungumza jambo na Mkuu wa Kitivo cha Elimu MUCE-UDSM, Dk. Orestes Kapinga kwenye hafla ya uzinduzi wa Kongamano la Elimu Kitaifa lililoandaliwa na Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa Iringa (MUCE-UDSM) kwa kushirikiana na taasisi wadau wa elimu nchini.
Mshauri Elekezi wa Utafiti kutoka Bumaco Ltd, Dk. Aikande Kwayu akichangia mada kwenye hafla ya uzinduzi wa Kongamano la Elimu Kitaifa lililoandaliwa na MUCE-UDSM.
Meneja Programu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMET), Bw. Nicodemus Shauri Eatlawe akizungumza kwa niaba ya Mratibu wa Taifa wa Mtandao wa Elimu Tanzania kwenye hafla ya uzinduzi wa Kongamano la Elimu Kitaifa lililoandaliwa na MUCE-UDSM.
Sehemu ya washiriki kwenye hafla ya uzinduzi wa Kongamano la Elimu Kitaifa lililoandaliwa na MUCE-UDSM.
Sehemu ya washiriki wakichangia mada kwenye Kongamano la Elimu Kitaifa lililoandaliwa na MUCE-UDSM.
Matteo Mwita kutoka Right to Play akiwasilisha mada kwenye Kongamano la Elimu Kitaifa lililoandaliwa na MUCE-UDSM.
Ms. Geraldina Edward kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma(kulia) akiwasilisha mada kwenye Kongamano la Elimu Kitaifa lililoandaliwa na MUCE-UDSM.
Sehemu ya washiriki wakichangia mada kwenye Kongamano la Elimu Kitaifa lililoandaliwa na MUCE-UDSM.
Sehemu ya washiriki wakichangia mada kwenye Kongamano la Elimu Kitaifa lililoandaliwa na MUCE-UDSM.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad