HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 13, 2022

Rais Samia akutana na kuzungumza na Mawaziri na Naibu Mawaziri



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mawaziri na Naibu Mawaziri katika Kikao Kazi kilichofanyika leo tarehe 13 Januari, 2022 katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad