BOFYA HAPO CHINI KUONA VIDEO
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Kimataifa ya kuhudumia Makontena
Tanzania katika bandari ya Dar es salaam (TICTS) wakiendelea na usafi usafi katika fukwe za Coco Beach, Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kimataifa ya kuhudumia Makontena
Tanzania katika bandari ya Dar es salaam (TICTS),Horace Hui (kushoto)
akimkabidhi sehemu ya miti, Afisa Mtendaji wa Mtaa
wa Oysterbay, Anna Malisha, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono serikali ya
mkoa wa Dar es salaam ya kufanya usafi na kupanda miti katika
mazingira yanayowazunguka wananchi kutipia kampeni yao ya "GO Green",
kabla ya kuanza kwa zoezi la usafi katika fukwe ya Coco Beach, leo
Desemba 30, 2021. kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo wa Kampuni ya TICTS,
Donald Talawa.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kimataifa ya kuhudumia Makontena
Tanzania katika bandari ya Dar es salaam (TICTS), Horace Hui (kushoto)
akimkabidhi sehemu ya vifaa vya kufanyia usafi, Afisa Mtendaji wa Mtaa
wa Oysterbay, Anna Malisha, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono serikali ya
mkoa wa Dar es salaam ya kufanya usafi katika
mazingira yanayowazunguka wananchi kutipia kampeni yao ya "GO Green",
kabla ya kuanza kwa zoezi la usafi katika fukwe ya Coco Beach, leo
Desemba 30, 2021. kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo wa Kampuni ya TICTS,
Donald Talawa.
Vifaa vya usafi vilivyotolewa kwa ajili ya kuunga zoezi la usafi jiji la Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kimataifa ya kuhudumia Makontena
Tanzania katika bandari ya Dar es salaam (TICTS), Horace Hui (kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Maendeleo wa Kampuni ya TICTS Donald Talawa (kulia) wakifanya usafi katika fukwe za Coco Beach, Dar es Salaam ikiwa ni kuunga mkono zoezi la Usafi katika jiji la Dar es Salaam kwa kushirikiana na Uongozi wa Serikali ya mtaa Oysterbay kwenye zoezi la kufanya usafi lililopewa jina la (GO Green) kwenye fukwe ya Coco Beach.
No comments:
Post a Comment