Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo akiwagawia zawadi baadhi ya watoto katika tamasha maalumu lenye lengo la kuwajengea utamaduni wa kuweka akiba watoto wakiwa wadogo kupitia akaunti ya watoto ya Benki ya CRDB (Junior Jumbo Account) na kuwashukuru wazazi pamoja na walezi kwa kuwafungulia watoto akaunti katika benki hiyo. Tamasha hilo limefanyika kwenye viwanja vya Mlimani city, jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo akizingumza katika tamasha maalumu lenye lengo la
kuwajengea watoto utamaduni wa kuweka akiba wakiwa wadogo kupitia
akaunti ya watoto ya Benki ya CRDB (Junior Jumbo Account) na kuwashukuru
wazazi pamoja na walezi kwa kuwafungulia watoto akaunti katika benki
hiyo. Tamasha hilo limefanyika kwenye viwanja vya Mlimani city, jijini
Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Benki ya CRDB, Joseline Kamuhanda akizingumza katika tamasha maalumu lenye lengo la
kuwajengea watoto utamaduni wa kuweka akiba wakiwa wadogo kupitia
akaunti ya watoto ya Benki ya CRDB (Junior Jumbo Account) na kuwashukuru
wazazi pamoja na walezi kwa kuwafungulia watoto akaunti katika benki
hiyo. Tamasha hilo limefanyika kwenye viwanja vya Mlimani city, jijini
Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Afisa
Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo akishiriki
kuburudika na baadhi ya watoto na wazazi/walezi wao katika tamasha
maalumu lenye lengo la
kuwajengea watoto utamaduni wa kuweka akiba wakiwa wadogo kupitia
akaunti ya watoto ya Benki ya CRDB (Junior Jumbo Account) na kuwashukuru
wazazi pamoja na walezi kwa kuwafungulia watoto akaunti katika benki
hiyo. Tamasha hilo limefanyika kwenye viwanja vya Mlimani city, jijini
Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment