NBC SACCOS YAFANYA MKUTANO WAKE MKUU WA MWAKA, WASHUSHA RIBA KWA WASTAAFU - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 6, 2021

NBC SACCOS YAFANYA MKUTANO WAKE MKUU WA MWAKA, WASHUSHA RIBA KWA WASTAAFU

Sehemu ya wajumbe na wanachama wa NBC SACCOS LTD wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa Mkutano wao Mkuu wa Mwaka uliyofanyika jana kwenye ukumbi wa mikutano wa NSSF, Ilala jijini Dar es salaam. Katika Mkutano huo, ajenda kadhaa zilijadiliwa na kupitishwa ikiwemo ya Wastaafu kupewa nafuu ya riba kwenye mikopo ya chini ya asilimia moja. 
 Mwenyekiti wa NBC SACCOS LTD, Exaud Terry akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama hicho, uliyofanyika jana kwenye ukumbi wa mikutano wa NSSF, Ilala jijini Dar es salaam, ambapo katika Mkutano huo, ajenda kadhaa zilijadiliwa na kupitishwa ikiwemo ya Wastaafu kupewa nafuu ya riba kwenye mikopo ya chini ya asilimia moja.
Afisa Ushirika wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Simon Kimbi (katikati) akifafanua jambo kwa wajumbe na wanachama wa NBC SACCOS LTD wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama hicho, uliyofanyika jana kwenye ukumbi wa mikutano wa NSSF, Ilala jijini Dar es salaam.
Meneja wa NBC SACCOS LTD, Frank Gideon (kulia) wakati akizungumza wakati wa kuthibitisha muhtasari wa Mkutano Mkuu uliopota kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa chama hicho, uliyofanyika jana kwenye ukumbi wa mikutano wa NSSF, Ilala jijini Dar es salaam.
Mhasibu Mkuu wa NBC SACCOS LTD, Pamela Tarimo akizungumza wakati wa kuwasilisha makisio ya mapato na matumizi ya mwaka 2022, wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama hicho, uliyofanyika jana kwenye ukumbi wa mikutano wa NSSF, Ilala jijini Dar es salaam. 
Makamu Mwenyekiti wa NBC SACCOS LTD, Tatu Madika akifafanua jambo kwa wajumbe na wanachama wa NBC SACCOS LTD wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama hicho, uliyofanyika jana kwenye ukumbi wa mikutano wa NSSF, Ilala jijini Dar es salaam.
No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad