MISS ENVIRONMENT YAZINDULIWA JIJINI DAR, WADAU WAOMBA KUUNGA MKONO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 6, 2021

MISS ENVIRONMENT YAZINDULIWA JIJINI DAR, WADAU WAOMBA KUUNGA MKONO

KAMPUNI ya JOS enterprises yazindua Mlimbwende wa Mazingira (Miss Environment international) jijini Dar es Salaam.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Mkurugenzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Nale Boniphace amesema kuwa uzinduzi huo ni kwajili ya kuhifadhi mazingira.

Kaimu Katibu mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania(Basata), Mr. Mriko akizungumza na wakati wa uzinduzi wa Mlimbwende wa Mazingira (Miss Environment international) jijini Dar es Salaam amesema kuwa Basata ipo kwaajili ya kukuza vipaji vya wale ambao wanaendeleza sanaa nchini.

Asema kuwa serikali imejitoa  kwaajili ya kuunga mkoa juhudi zinazooneshwa na  waandaaji wa Miss Environment International ili kukuza vipaji vya vijana licha ya hayo Amewaomba wadau wengine wa maendeleo kuunga mkono juhudi zinazofanywa na kampuni ya JOS enterprises.

Kwa upande Meneja Masoko wa Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya Win Princess, Emmanuel Choya amesema amewapongeza waandaaji wa shindano la Miss Environment kwa kuanzisha mashindano hayo huku akiwahamasisha wananchi kutucheza mcheza michezo ya kubahatisha kutoka kampuni ya hiyo kwani haichafui mazingira wala kuharibu mazingira.

Mashindano hayo yamefadhiliwa na Kampuni ya Michezo ya kuhabatisha ya Win Princes 
Mkurugenzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya JOS enterprises , Nale Boniphace akizungumza wakati wa uzinduzi wa Miss environment International jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Kaimu Katibu mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania(Basata), Mr. Mriko akizungumza na wakati wa uzinduzi wa Mlimbwende wa Mazingira (Miss Environment international) jijini Dar es Salaam
Mhamasishaji wa Miss Environment International, Angela Pendael akizungumza wakati wa uzinduzi wa Miss environment International jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya Win Princess, Emmanuel Choya akizungumza wakati wa uzinduzi wa Miss environment International jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Meza Kuu wakiwa katika uzinduzi wa Miss environment International jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Meza kuu wakiwa kaika picha ya pamoja na wanamitindo wanaohamasisha utunzaji wa mazingira yaliyobuniwa na mwanamitindo na mbunifu, Diana Magesa wakati wa uzinduzi wa Miss environment International jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Wanamitondo wakiwa wamevalia mavazi yanayotunza na kuokoa uchafuzi wa mazingira yaliyobuniwa na mwanamitindo na mbunifu, Diana Magesa wakati wa uzinduzi wa Miss environment International jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Wanamitindo wakiwaonesha mavazi yao ya utunzaji wa mazingira.
Mwanamitindo mitindo mbalimbali wakati wa mwanamitindo na mbunifu, Diana Magesa wakati wa uzinduzi wa Miss environment International jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Wanamitindo wakionesha mavazi yao yaliyobuniwa na mwanamitindo na mbunifu, Diana Magesa wakati wa uzinduzi wa Miss environment International jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.


Picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa Miss environment International jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki akiwa katika picha ya pamoja.

Baadhi ya wadau wa mazingira na urembo wakiwa uzinduzi wa Miss environment International jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad