HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, November 10, 2021

WAZIRI SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KUSIMAMIA, KUDHIBITI NA KURATIBU MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI

 


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, George Simbachawene, akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio. 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, George Simbachawene (katikati), akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Kulia ni Naibu Waziri, Khamis Hamza Chilo, wapili kushoto ni Katibu Mkuu, Christopher Kadio, kushoto ni Naibu Katibu Mkuu, Ramadhani Kailima na wapili kulia ni Katibu wa Kamati, Jenitha Ndone.
Wajumbe wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (hayupo pichani), wakati alipokuwa akizungumza  katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, George Simbachawene (kushoto), akisalimiana na Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mbaraka Semwanza, wakati alipokuwa anawasili katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad