HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 23, 2021

UZINDUZI WA KAMPENI YA 'MAAJABU HALISI' NA COCA-COLA WAWAFIKIA WAFANYAKAZI WA BONITE BOTTLERS LTD, MOSHI MKOANI KILIMANJARO.

Mkuu wa Masoko na Mauzo wa kampuni ya Bonite Bottlers Ltd, Christopher Loiruk akizungumza na wafanyakazi wa Bonite Bottlers Ltd, mkoani Kilimanjaro kuhusu uzinduzi wa kampeni inayojulikana kama ‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ au ‘Real Magic’. Uzinduzi kama huo pia unatarajiwa kufanyika katika mikoa mingine ambapo utaambatana na shughuli tofauti za kusisimua zitakazowahusisha wateja maeneo mbalimbali na kudumu mpaka kipindi cha msimu wa sikukuu na mwaka mpya.

Meneja Mwandamizi wa Chapa ya Coca-Cola Tanzania, Kabula Nshimo akifafanua kwa wafanyakazi wa kampuni ya Bonite Bottlers Ltd, Moshi mkoani Kilimanjaro kuhusu uzinduzi wa kampeni inayojulikana kama ‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ au ‘Real Magic’. Uzinduzi kama huo pia unatarajiwa kufanyika katika mikoa mingine ambapo utaambatana na shughuli tofauti za kusisimua zitakazowahusisha wateja maeneo mbalimbali na kudumu mpaka kipindi cha msimu wa sikukuu na mwaka mpya.
Meneja Mwandamizi wa Chapa ya Coca-Cola Tanzania, Kabula Nshimo (aliyekaa chini kulia) akifurahia pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya Bonite Bottlers Ltd, Moshi mkoani Kilimanjaro kuhusu uzinduzi wa kampeni inayojulikana kama ‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ au ‘Real Magic’. Uzinduzi kama huo pia unatarajiwa kufanyika katika mikoa mingine ambapo utaambatana na shughuli tofauti za kusisimua zitakazowahusisha wateja maeneo mbalimbali na kudumu mpaka kipindi cha msimu wa sikukuu na mwaka mpya.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Bonite Bottlers Ltd mkoani Kilimanjaro wakifurahia wakati wa uzinduzi wa kampeni inayojulikana kama ‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ au ‘Real Magic’. Uzinduzi kama huo pia unatarajiwa kufanyika katika mikoa mingine ambapo utaambatana na shughuli tofauti za kusisimua zitakazowahusisha wateja maeneo mbalimbali na kudumu mpaka kipindi cha msimu wa sikukuu na mwaka mpya.
Baadhi ya matukio ya shamrashamra mtaani wakati wa uzinduzi wa kampeni inayojulikana kama ‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ au ‘Real Magic’ katika kampuni ya Bonite Bottlers Ltd, Moshi mkoani Kilimanjaro. Uzinduzi kama huo pia unatarajiwa kufanyika katika mikoa mingine ambapo utaambatana na shughuli tofauti za kusisimua zitakazowahusisha wateja maeneo mbalimbali na kudumu mpaka kipindi cha msimu wa sikukuu na mwaka mpya.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad